Kuhusu Homiopathi

Home / About Us

Kuhusu Homiopathi

Kutoka katika vitu asili

Homiopathi ni tiba mbadala iliyoanzia bara la Ulaya. Tiba hii ni ya asili na haina madhara yeyote kiafya.

Dawa insaidia kinga ya mwili kupigana na magonjwa mbalimbali. Dunini nchi nyingi zinatumia homiopathi kama India, Ujerumani na Marekani.

Maono Yetu

Mikakati Yetu

“Homiopathi inaponya watu wengi zaidi kuliko dawa nyingine yeyote na ni salama na rahisi zaidi kuliko dawa zote”

"Ingawa tunatibu magonjwa yote, hasa tunawasaidia wale walioathirika na UKIMWI".

Timu Yetu

Hii ndio Timu Yetu

Hapa inabidi tuweke watu wote walioko ofisini ili kujua ukubwa wetu.