Kuhusu Homiopathi
Home / About Us
Kuhusu Homiopathi
Kutoka katika vitu asili
Homiopathi ni tiba mbadala iliyoanzia bara la Ulaya. Tiba hii ni ya asili na haina madhara yeyote kiafya.
Dawa insaidia kinga ya mwili kupigana na magonjwa mbalimbali. Dunini nchi nyingi zinatumia homiopathi kama India, Ujerumani na Marekani.
Maono Yetu
- Kusaidia jamii ya Tanzania na Afrika kwa kutumia Homiopathi.
- Kutoa elimu ya kutosha katika jamii kuhusu matumizi ya Homiopathi.
Mikakati Yetu
- Kuondoa mateso kwa wangonjwa wa VVU kwa kutumia tiba mbadala
- Kutambua na kugundua umuhimu na mafanikio katika tiba mbadala
- Kueneza uelewa na elimu wa tiba mbadala Tanzania na Afrika.
“Homiopathi inaponya watu wengi zaidi kuliko dawa nyingine yeyote na ni salama na rahisi zaidi kuliko dawa zote”
"Ingawa tunatibu magonjwa yote, hasa tunawasaidia wale walioathirika na UKIMWI".
Timu Yetu
Hii ndio Timu Yetu
Hapa inabidi tuweke watu wote walioko ofisini ili kujua ukubwa wetu.