Husaidia Kinga ya Mwili

Kupambana na magonjwa mbalimbali.

Husaidia mfumo wa upumuaji

Husaidia mfumo wa upumuaji kwa binadamu.

Husaidia mfumo wa chakula

Dawa zetu husaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Kuhusu Homiopathi Tanzania

Kutoka katika vitu asili

Homiopathi ni tiba mbadala iliyoanzia bara la Ulaya. Tiba hii ni ya asili na haina madhara yeyote kiafya.

Dawa insaidia kinga ya mwili kupigana na magonjwa mbalimbali. Dunini nchi nyingi zinatumia homiopathi kama India, Ujerumani na Marekani.

Maono Yetu

Mikakati Yetu.

"Miaka 14 ya uzoefu katika kutumia tiba mbadala Tanzania"

Homiopathi Tanzania

Agency - Homeopathy Tanzania

Huduma zetu

Dawa zetu zina faida nyingi kiafya

Homiopathi au tiba mbadla ina faida nyingi sana kiafya. 

Ni rahisi kutumia

Dawa zote ni rahisi Kwa mtu yeyote kutumia.

Hufanya kazi haraka

Tiba hii hufanya kazi haraka kuliko tiba nyingine.

Hurudisha afya ya mwili

Tiba mbadala au Homiopathi hurudisha mwili katika hali yake ya afya.

Pata ushauri wa bure kutoka kwa wataalamu

Homiopathi Tanzania tunatoa ushauri nasaha kwa kila mtu katika jamii ili kuwepo uelewa na elimu kuhusu tiba mbadala au Homiopathi. Karibu tuweze kukufahamisha zaidi kuhusu Homiopathi.

Chagua Homiopathi

Kutana na wataalamu waliobobea katika fani ya tiba mbadala.

Ikiwa afya yako imezorota kutokana na kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa, Homiopathi au tiba mbadala huweza kurudisha afya yako katika hali yake.

Dawa bora za mimea

Dawa zetu hutokana na mimea asili na matunda.

100% Kaboni

Dawa zote ni mimea kwa asilimia mia moja.

Bidhaa zetu za asili

Tumia bidhaa za asili kwa afya yako

Matumizi ya bidhaa za asili ni njia madhubuti katika kulinda miili yetu dhidi ya magonjwa. Pia tiba mbadala (Homiopathi) huweza kufanya akazi kwa uhakika zaidi kuliko tiba nyingine.

Ubao wa habari

Habari za punde

Hapa ni habari zilizotokea/zinazotokea hapa Homiopathi Tanzania.